Nina Printer ya Epson L805. Jana asubuhi nimekuta imemwaga wino wote kwenye tank la kutolea wino mchafu. Catrage zote ziliisha wino. Nimejaribu kujaza wino tena lakini kila nikijaribu kuprint karatasi inatoka haina maandishi. Je Shida ni nini?