Msaada wa kiufundi Brevis

Msaada wa kiufundi Brevis

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,463
Reaction score
4,691
Wadau,

Nia gari ina ya Brevis CC. 3,000/= ilianzakamchzo ka kutetemeka ikiwa slenc (Misi).
Nikapata ushauri nioshe Tank la petrol. Kweli kufungua Tanki mafuta yalikua na Maji.

Lakini Misi hakuisha, nkbadili plugs na kuosha nozzels, Misiikasha but after 4 days ikaanza tena.
Nikaosha petrol filter. Misi ikata but siku hiyo hiyo jioniikanza tena.

Am now confused Buddies!!!!

Msaada kuoka kwenu Jamani wataalamu
 
Brevis nazo kumbe kimeo namna hiyo? Pole kiongozi peleka kwa mafundi wanaotumia computer kugundua tatizo achana na mafundi wa vichochoroni.
 
Hizo ni d4 engine zinamchezo wa kuchagua mafuta angalia unapojazia mafuta yawe 100% safi.
 
Maji yanaingiaje kwenye tank la mafuta?
Au ndiyo uchakachuaji unasababisha?
 
Back
Top Bottom