Msaada wa kitabu cha course za vyuo vikuu

Ncherry1

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
2,181
2,249
Morning umu ndani!

Jamani naomba kuuliza nawezaje pata kile kitabu cha course za vyuo vikuu Tanzania au ni zipi course nzuri ambazo dogo anaweza kusoma kwa watu wa arts apart from education...

Msaada jamani?
 
ingia tcu.go.tz au google tu kwamba tcu guidebook either ya mwaka jana au juzi,utaipata na ndo ina mwongoz wote na kila kitu.utaipakua kam pdf
 
Back
Top Bottom