Ikula Member Feb 4, 2017 87 138 Feb 11, 2017 #1 Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa miezi nane lakini mtoto wangu anatokatoka vijipu na harara nifanyeje viweze kumtoka
Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa miezi nane lakini mtoto wangu anatokatoka vijipu na harara nifanyeje viweze kumtoka