Msaada wa Kitaaluma Unahitajika

Msaada wa Kitaaluma Unahitajika

Omari Issa

Senior Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
168
Reaction score
45
Habari zenu wanajamvi!
Tafadhali naomba mwenye TEMPLATE za kupanga matokeo kwa divisions, FORM TWO, FORM FOUR na FORM SIX anipatie please!
Thanks!
 
MTU mwenyewe anajiita Rotten head ..what do u expect??
ID na uhalisia wa mtu mwenyewe ni vitu viwili tofauti kabisa. By the way some things vinahitaji ujuzi kama huelewi its better ukatulia kupisha wajuzi waje wajibu.
 
UNA MAANISHA NINI?
Naamanisha kwamba kuna njia mbalimbali zinazitumika mashuleni hata kitaifa kupanga matokeo baada ya kuwatahini wanafunzi. Njia hii hufanyika kwa kutumia program ya spreadsheet hususani Excel.
Sasa shida yangu nipate muongozo wa upangaji (template) ili nitumie nami kupanga matokeo hayo.
 
Back
Top Bottom