Issue yako ipo too complicated. Ina mambo mengi ambayo wewe umeyafungia kwenye point moja tu. Labda tuanzie hapa,
1. Makubaliano yenu ya biashara mwanzo yalikuwa ya maandishi? na mlikubaliana nini hasa?
2. Nini hasa chanzo cha ugomvi wenu kibiashara?
3. Makubaliano yenu ya kulipana baada ya ugomvi yalikuwa ya maandishi?
4. Ugomvi alioleta mwenzako katika biashara yako, chanzo hasa kilikua nini?
5. Katika ugomvi huo, mwenzako alisababisha vipi wewe kukwama?