karv JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 1,800 Reaction score 3,269 May 28, 2023 #21 atlas copco said: Ila mwenyekiti ni kiongozi wa kisiasa,afisa mtendaji ni kiongozi wa serikali Click to expand... Ardhi ya kijiji ni tofauti hata afisa mipango miji haimuhusu iyo
atlas copco said: Ila mwenyekiti ni kiongozi wa kisiasa,afisa mtendaji ni kiongozi wa serikali Click to expand... Ardhi ya kijiji ni tofauti hata afisa mipango miji haimuhusu iyo
t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,143 Reaction score 17,026 May 29, 2023 #22 mtwa mkulu said: Huyo mwamba mbona unyakyusa mwingi? Click to expand... Swali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi.
mtwa mkulu said: Huyo mwamba mbona unyakyusa mwingi? Click to expand... Swali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi.
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,268 May 29, 2023 #23 t blj said: Swali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi. Click to expand... Utamaduni wao mkuu. Ardhi inaweza kuwa ya kaka sa umenunua siku akifa usishangae mtoto wa mdogo ake akaja kudai hakushilikishwa
t blj said: Swali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi. Click to expand... Utamaduni wao mkuu. Ardhi inaweza kuwa ya kaka sa umenunua siku akifa usishangae mtoto wa mdogo ake akaja kudai hakushilikishwa