M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 May 7, 2022 #1 Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi?
Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,650 Reaction score 81,555 May 7, 2022 #2 Advocate Abel Shao
Karanga Lawfirm Senior Member Joined Feb 10, 2021 Posts 163 Reaction score 171 May 13, 2022 #3 Katus Manumbu said: Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi? Click to expand... Hakuna
Katus Manumbu said: Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi? Click to expand... Hakuna
M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 May 14, 2022 Thread starter #4 Karanga Lawfirm said: Hakuna Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,239 Reaction score 184,950 May 14, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...
M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 May 15, 2022 Thread starter #6 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Hawaji
M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 May 26, 2022 Thread starter #7 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Majibu hapa tafadhari
chapangombe JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 378 Reaction score 329 May 29, 2022 #8 Katus Manumbu said: Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi? Click to expand... Linaitwa attempt to theft mfano simu ilikuwa inachajishwa ukaishika ukakamatwa au umekutwa kwenye nyumba ya mtu mlango upo wazi wewe unataka kuingia
Katus Manumbu said: Hivi kwenye sheria zetu za kazi hapa Tanzania huwa kuna kosa la "Kusudio la Kuiba?" Kama lipo je, mazingira yake ni kama yapi? Click to expand... Linaitwa attempt to theft mfano simu ilikuwa inachajishwa ukaishika ukakamatwa au umekutwa kwenye nyumba ya mtu mlango upo wazi wewe unataka kuingia
M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 Jun 8, 2022 Thread starter #9 chapangombe said: Linaitwa attempt to theft mfano simu ilikuwa inachajishwa ukaishika ukakamatwa au umekutwa kwenye nyumba ya mtu mlango upo wazi wewe unataka kuingia Click to expand... Hivyo ni lazima ukamatwe si ndiyo?
chapangombe said: Linaitwa attempt to theft mfano simu ilikuwa inachajishwa ukaishika ukakamatwa au umekutwa kwenye nyumba ya mtu mlango upo wazi wewe unataka kuingia Click to expand... Hivyo ni lazima ukamatwe si ndiyo?
chapangombe JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 378 Reaction score 329 Jun 15, 2022 #10 Katus Manumbu said: Hivyo ni lazima ukamatwe si ndiyo? Click to expand... Ndio si nikosa
M Myhope Senior Member Joined Jul 20, 2017 Posts 154 Reaction score 67 Jul 1, 2022 Thread starter #11 chapangombe said: Ndio si nikosa Click to expand... Ni kosa la jinai au?