Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,338
mkuu kisa ni cha kipumbavu kabisa na hakilingani na mpira aliokata nikikuhadithia utajua tu kijana alikua na wivu na wakati anakata nilikua namuona na ndugu kadhaa hapa nje. na RB yake nimekata tatizo ni kuwa polisi ukifika tu kuja kukamata muhalifu unatoa 20000 ya mafuta hapo bado hujazungushwa.Huyo kijana sio chizi kwamba aanze tu kuja kukata mpira..umemkosea nini?
Una ushahidi kwamba yeye ndio aliyekuja kukata hapo?
Ilikua hiv huyu kijana ni mtoto wa mama mdogo anatabia ya kufanya vurugu nje hapa na ni mwaribifu mkubwa sana ila mama yake humkingia kifua kwa kuhonga maaskari. Majuzi alinituma simu yake iko chaji kwa lengo la kuuza akiahidi kunipa 1000 kama ujira wa kunituma. Na kweli alifanikiwa kuuza nikamuomba aniazime 1000 iwe 2000 akatii na kunipatia siku ananidai nikamrejeshea 1000 akakataa akidai anataka 2000 yote hapo ni akiwa kalewa nikamwambia sawa kwa kuwa sasa sina hiyo cash maana nilikua home subir mother arejee nikupe. Na kwa kuwa tayari alikua ameshashikilia mpira wangu wenye thamani ya 60000 elfu. Nikamwambia mpra si unao kiongozi nitakupa jioni. Akaanza ooh kwani mpira unanini naweza uweka bondi mara au niukatekate saivi ghafla akautoa nje na kukata kata nikiwa namwona mimi nilichofanya nikaenda mkatia RB ninayo mpaka sasa. Sema tu kinachonikwamisha ni hili jeshi letu linao watu wenye tamaa ya fedha ndani yake ndio nahofia kwenda pupa. Ndio maana nikaja hapa jukwaani kama nitaweza pata mtu makini anisaidie huyu kijana awajibishwe kulingana na makosa yake.Huyo kijana sio chizi kwamba aanze tu kuja kukata mpira..umemkosea nini?
Una ushahidi kwamba yeye ndio aliyekuja kukata hapo?
Ilikua hiv huyu kijana ni mtoto wa mama mdogo anatabia ya kufanya vurugu nje hapa na ni mwaribifu mkubwa sana ila mama yake humkingia kifua kwa kuhonga maaskari. Majuzi alinituma simu yake iko chaji kwa lengo la kuuza akiahidi kunipa 1000 kama ujira wa kunituma. Na kweli alifanikiwa kuuza nikamuomba aniazime 1000 iwe 2000 akatii na kunipatia siku ananidai nikamrejeshea 1000 akakataa akidai anataka 2000 yote hapo ni akiwa kalewa nikamwambia sawa kwa kuwa sasa sina hiyo cash maana nilikua home subir mother arejee nikupe. Na kwa kuwa tayari alikua ameshashikilia mpira wangu wenye thamani ya 60000 elfu. Nikamwambia mpra si unao kiongozi nitakupa jioni. Akaanza ooh kwani mpira unanini naweza uweka bondi mara au niukatekate saivi ghafla akautoa nje na kukata kata nikiwa namwona mimi nilichofanya nikaenda mkatia RB ninayo mpaka sasa. Sema tu kinachonikwamisha ni hili jeshi letu linao watu wenye tamaa ya fedha ndani yake ndio nahofia kwenda pupa. Ndio maana nikaja hapa jukwaani kama nitaweza pata mtu makini anisaidie huyu kijana awajibishwe kulingana na makosa yake.
Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugu ndio tunapasa kutiana hasara mkuuHuyo ni ndugu yako wa damu kabisa hiyo rb achana nayo na asijue kama umekata..
Tafuta wakubwa zenu wa familia mshktakie huyo bwana kwa wakubwa zako..mambo yaishe kifamilia