Msaada wa kisheria, nataka nikawashtaki Tigo na Tatu mzuka

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,063
40,724
Kama picha hapo chini imavyojieleza, binafsi nakerwa sana ninapotumiwa hizi meseji za Kamari wakati binafsi sijawahi na sina muda wa kicheza kamari, imagine watu wa Forex nao wakaanza kutuma mameseji kwa fujo kama hivi, patakalika kweli?

Je, kuna sheria inayonilinda endapo sitaki kutumiwa hizi meseji? Zinanikera mno!
Screenshot_2017-12-22-12-58-33.png


Eti bila aibu leo wananiambia kwamba hawana roho mbaya ya kuacha kunikumbusha, mbona hamtupi option kwa sisi tusiotaka kukumbushwa?
 
Kwa ujumla mitandao yote huwa kuna muda inakera wateja kwa kuwatumia jumbe wasizozipenda, na huwa hakuna option ya kuziepuka.

kuna kipindi nilitumiwa text za kidini voda, niliowapigia waliniambia eti wao haeahusiki katika hilo, nikataka kujua walipata wapi namba yangu hao wanaotuma ikiwa voda hawahusiki?

nilisumbuka sana.!
 
Mimi kutwa natumiwa jumbe na Airtel mara smatika na vifurushi........... mara Tigo nao wanatuma sijui nunua bando la elfu 69 upate tecno S1...... sijakaa sawa unakuta simu inaita naacha niliyokuwa nafanya napokea simu mara nasikia msen.ge anaongea ooh sijui kimepanda kikashuka halafu kikakikmbia.............. shubaaaamit zenu wenye mitandao.
 
mimi daily nayapokea hayo ma sms
hadi kero yaaani
 

Attachments

  • Screenshot_2017-12-22-10-36-57.png
    Screenshot_2017-12-22-10-36-57.png
    15.2 KB · Views: 44
  • Screenshot_2017-12-22-10-36-57.png
    Screenshot_2017-12-22-10-36-57.png
    15.2 KB · Views: 40
me bikosport sijui sms zao zinanikera sana. halafu kuna mtu namdai alisema atanitumia hela so kila sms zao zikiingia me roho juu najua kashatuma nikifunggua nakutana na upuuzi.
 
Mbona miye hawajawai ata kunitumia!wewe uliwai kucheza na ukaacha ndio mana!
 
umepotea kitambo inaonekana ulikua unacheza ukapigwa ukakimbia

wasingekwambia umepotea kitambo!!
halafu watu was Forex wakutumie text kimisingi IPI? Wakutumie ili iweje?
 
Ila kama hujawahi kucheza sidhani kama unatumiwa msg ila ukijaribu tu siku moja utajuta kila baada ya nusu saa utatumiwa msg
 
Back
Top Bottom