Mnyongeni Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 628
- 727
Jamaan kuna ndugu yangu company yao imewapa notice of termination kuwa end of this month wanafukuzwa kazi yeye anasema amemaliza mwaka na miezi 4 toka alipoajiriwa anaambiwa atapewa kiinua mgongo ambacho ni malipo yake ya siku saba kwa mwaka kwa mfano ye kwa mwezi alikuwa analipwa laki tano means kwa siku ni elfu 16666.7tsh so mafao yake itazidishwa mara saba tuu ndo itakuwa kiinua mgongo chake 116,666.9 tshs hebu tusaidiane hapa na ela yake ya mshahara mmoja so ataondoka na 616,666.9tsh
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha