fite fite
Senior Member
- Feb 27, 2017
- 113
- 94
Hellow wanajukwaa, naombeni ufafanuzi kwa wanaojua sheria ipoje juu ya hili; unapokuwa umefungua kesi mahakamani juu ya masuala ya ardhi, inatokea mtu uliyemshitaki ameomba kufuta kesi, je ni vitu gani anatakiwa awajibike kwa mujibu wa sheria...? na hela ya kuwalipa mawakili nani atahusika hapo..? Tusaidiane kwa hilo wapendwa, asante!