Mimi ni mfanyakazi kwenye sekta binafsi. Nimepitia sheria ya ajira na mahusiano kazini sikuweza kuona kifungu kinachoongelea utaratibu wa kuhamishwa kituo cha kazi. Hivo nimekuja kwenye jamvi la wataalam wa sheria , naomba kufahamishwa utaratibu wa kisheria wa kuhamishwa kituo cha kazi.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.