Msaada wa kisheria baada ya jaji kumaliza hukumu ya malipo

MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,187
Habari wanajamvi,

Mie naishi Mbaya, nilifungua kesi yangu CMA baada ya kampuni kunifukuza kazi bila uthibitisho wa hatia na CMA wakatoa hukumu nilipwe mishahara ya miezi 10.

Baada ya hapo kampuni ikakata rufaa mahakama kuu ya kanda ya mbeya, kesi ilisikilizwa na jaji na jaji alitoa hukumu kama ile ile walioitoa CMA na kukubali kampuni inilipe miezi 10 kama ilivyoamuliwa na CMA,, tulikazia hukumu kama inavyotakiwa na jaji akatoa maamzi kama nilivyoyatoa,
CMA wakaandaa documents ya malipo wakapiga mhuri ikawa tayari

Msaada ninaotaka kuupata ni kuhusu muda ambao hautakiwi kuzidi baada ya hukumu kutolewa.

Namaanisha baada ya hukumu kutolewa kampuni haitakiwi izidi muda gani kisheria ili niwe nimepata malipo yangu?
 
Heri ungeuliza hujo cma....
Humu wanasheria mara nyingi hawajibu

Au kaiweke jukwaa la hoja mchanganyiko watu wengi wanapita pale wenye uzoefu watakujibu
 
Back
Top Bottom