M mAgaziJuTO. Senior Member Joined Feb 22, 2014 Posts 119 Reaction score 37 Apr 27, 2015 #1 ni siku ya tatu sasa nashindwa kufanya usajili kutokana na ubovu wa mawasiliano kati yangu na watu wa huduma kwa wateja kupitia 0764700800.naomba mwenye kujua mbinu mbadala ya kuwapata anijuze tafadhali ili nami niingie dijitali.
ni siku ya tatu sasa nashindwa kufanya usajili kutokana na ubovu wa mawasiliano kati yangu na watu wa huduma kwa wateja kupitia 0764700800.naomba mwenye kujua mbinu mbadala ya kuwapata anijuze tafadhali ili nami niingie dijitali.