Wajuvi wa mambo ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea kulisongesha gurudumu la maisha. Binafsi namshukuru Mwenyezi Mungu kuwa ni mzima na naendelea vizuri pamoja na familia yangu.
Penye wengi kuna mengi, nahitaji kufahamu kwamba kama naweza kufunga ving'amuzi viwili(2) yaani Startimes na Dstv kwenye Tv moja na nikawa nachagua kama nataka kuangalia vipindi kutoka startimes au nikabadili kuangalia vya Dstv.
Pia kutakuwa na ulazima wa kufunga ma-dish mawili au dish moja linaweza kutosha kufanikisha mchakato huu mzima.
Kwa wale wenye ujuzi wa hii naomba msaada wenu.
Nawasilisha
TV 1!Akhsante kwa ' Kuturingishia ' kwamba unamiliki Dstv na StarTimes Mkuu. Weekend hii kuna mechi za ' derby ' EPL vipi naweza kuja Kwako angalau ' nidoee ' tu ' kukodolea ' baadhi ya mechi?
Simple solution kama anatumia Tv za kisasaKwenye hili naweza Kukusaidia
Kama Tv yako ni ina Port za HDMI zaid ya moja unaweza kuunganisha hzo Port through HDMI cable mbili from Ving'amuz vyako na kuendelea kutumia vyote viwili bila shida ukawa unabadili kupitia remote yako tu utumie king'amuz gan kwa muda huo.
Kwenye hili naweza Kukusaidia
Kama Tv yako ni ina Port za HDMI zaid ya moja unaweza kuunganisha hzo Port through HDMI cable mbili from Ving'amuz vyako na kuendelea kutumia vyote viwili bila shida ukawa unabadili kupitia remote yako tu utumie king'amuz gan kwa muda huo.
Akhsante kwa ' Kuturingishia ' kwamba unamiliki Dstv na StarTimes Mkuu. Weekend hii kuna mechi za ' derby ' EPL vipi naweza kuja Kwako angalau ' nidoee ' tu ' kukodolea ' baadhi ya mechi?