Msaada wa kimawazo

Msaada wa kimawazo

issa maneno

Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
40
Reaction score
0
mimi nimechaguliwa kidato cha tano katika shule ya kimamba iliyopo kilosa uko morogoro lakini kutokana na hali ya kiuchumi sikuweza kusoma tuition na nimechaguliwa mchepuo wa PCB je naweza kupata matokeo mazuri msaada plz
 
Pole sana kijana .. ila nakushauli ufanye uamuzi kwa kuangalia hali halisi ya kipato chako na JE nini unataka
 
unaweza kabsa...mimi mwenyew nimesoma hyo PCB na nimemalza mwaka huu,muda bado unao wewe komaa na tafuta ushirikiano kwa wenzako utatoka tu...hakikisha unacover topic mapema..kuwa wazi kwa rafk zako waambie sijasoma hiki na hiki..watakusaidia.
 
ahsante sana mkuu kwa ushauri mungu awe nawe
 
we mjamaa usikate tamaa. vp background yako lakn pia all in all anza upya katie msuli rafk yangu tia msuli jiunge na wajanja msolve madude na usilale habari za madem cjui na nn weka chonjo. jitahd usolve quiz.
cjui kama ushaenda lakn but naamin hata sasa unaweza
 
kikubwa ni determination na sio tution...haina haja ya kukariri maisha go hard you 'll make it
 
Back
Top Bottom