chibe dayo
Member
- Jun 25, 2022
- 71
- 67
upo mko ganiHabari wana jamvi?
Mm ni kijana nimeajiriwa sehemu fulani,, kipato kwa kiasi napata ila hakikidhi mahitaji
Sasa nafkiria kuacha kazi na kununua bajaji hata used then nianze kujiajiajiri,,,, kwa anaye fahamu biashara ya bajaj inaendaje tafadhali
Mkoa wa arushaupo mko gani
Bajaji ikiwa yakwako inahela na uwe mchungu wa kuitumia maana madereva wa bajaj na pikpik hawaendekei kwasababu wanauhakika na hela hivyo hutumia hela kula kila kitu wanachokiona mbele.. na kuhonga maana wanakutana na madem kila saaHabari wana jamvi?
Mm ni kijana nimeajiriwa sehemu fulani,, kipato kwa kiasi napata ila hakikidhi mahitaji
Sasa nafkiria kuacha kazi na kununua bajaji hata used then nianze kujiajiajiri,,,, kwa anaye fahamu biashara ya bajaj inaendaje tafadhali
Ndoto ntazitimiza nje ya kazi mana kazi naingia sa 2 asubh kutoka ni sa 3 usiku mtihani sanaTimiza ndoto na malengo yako.
Tupo pamoja mkuu na mm nataka ninunue nipate njia ya town to intel au morombo dampoMkoa wa arusha
Sawa asante kwa ushauriBajaji ikiwa yakwako inahela na uwe mchungu wa kuitumia maana madereva wa bajaj na pikpik hawaendekei kwasababu wanauhakika na hela hivyo hutumia hela kula kila kitu wanachokiona mbele.. na kuhonga maana wanakutana na madem kila saa
Wazo zuri pia kumbe familia kabisaTupo pamoja mkuu na mm nataka ninunue nipate njia ya town to intel au morombo dampo
Wazo zuri pia kumbe familia kanisTupo pamoja mkuu na mm nataka ninunue nipate njia ya town to intel au morombo dampo
Mm nataka town to uswahiliniTupo pamoja mkuu na mm nataka ninunue nipate njia ya town to intel au morombo dampo
utapata abiria wachache, abiria wengi wanaunga mpaka dampo.. hiyo yakuishia uswahilin inafanya asubuh na jion watu wakiwa nyomiWazo zuri pia kumbe familia kanis
Mm nataka town to uswahilini
utapata abiria wachache, abiria wengi wanaunga mpaka dampo.. hiyo yakuishia uswahilin inafanya asubuh na jion watu wakiwa nyomi
Hakika kaka ila kuna hofu nakua nayo ya maisha juu ya hili nawaza ntaendesha maisha ila naamini inawezekanautapata abiria wachache, abiria wengi wanaunga mpaka dampo.. hiyo yakuishia uswahilin inafanya asubuh na jion watu wakiwa nyomi
bajaji hukosi hela kwasababu pesa unaikuta inakusubiri wewe barabaraniHakika kaka ila kuna hofu nakua nayo ya maisha juu ya hili nawaza ntaendesha maisha ila naamini inawezekana
Hahahah we jamaaUkihitaji konda kwa hiyo chuma ( Bajaj) nicheki boss...