Mimi ni kijana niliemaliza kidatobcha nne mwaka 2017 kwa matokeo haya DIV IV 26
Civics C
English C
Kiswahili C
Goegraph D
History D
Biology D
Math F
Sasa nilikuwa nauliza ipi imekaa njema kati ya kwenda advance private kwa HKL au niende chuo, na vipi course gani naweza fit pia, out of my own selection ambayo ni law,, vipi kuhusu COMMUNITY HEALTH??
KARIBUNI