Msaada wa kielimu waungwana nimsaidie.

Msaada wa kielimu waungwana nimsaidie.

winmulu

Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
40
Reaction score
8
Kuna kipindi Mungai akiwa waziri wa Elimu aliunganisha baadhi ya masomo. Baadaye Yale masomo ya chemistry na physics yakatenganishwa tena.
Baada ya kutenganisha kylitoka Waraka naombeni mnisaidie Waraka ule ni namba ngapi na wa mwaka gani...

Pili Najaribu kutafuta mtaala wa elimu ya sekondari I-IV. sipati kabisa Napata mitaala ya msingi na awali.
Nisaidieni nifanyeje
 
Back
Top Bottom