Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Wakuu nina safari ya kwenda Geita hii weekend, naomba msaada wa kibinadamu nikiwa huko kwa wiki 2.
Wale wenyeji wa Geita, naomba kuelekezwa maeneo naweza kupata huduma takatifu au maeneo ambayo watoa huduma wanapatikana kwa wingi maana sina hakika kama tinder au tagged zinafanya kazi huko. Binafsi sio mpenzi sana wa hayo mambo ila siwezi kukaa wiki nzima bila kupata baraka, naugua kabisa karibu na kulazwa. Nitashukuru sana kwa muongozo wenu wakuu.
Natanguliza shukrani.