Msaada wa kibiashara

kwaji

Senior Member
Nov 3, 2013
186
32
Nataka kufanya biasha za mojawapo kati ya hizi mbili lakini zote kwangu ni mpya naomba ushauri kwa waliopitia na chengamoto zake

(1)Duka la vifaa vya piki piki
(2)duka la juma la vyakula na vinywaji
Ipi
 
Pikipiki ikizingua unaeza iacha ndani mpaka utakapo pata pesa ya matengenezo au mafuta. Ila chakula huezi kususa utakula tu hata kwa ku struggle. Go for second option.
 
Vifaa vya pikipiki anayenufaika ni fundi mi nimelfunga kodi pia imekuwa basi! wa usafi jj usiseme!! kodi za pango!!! duka za spear ziko kibao'!!! hapa ni mwanza! Duka la Jumla la msosi Hilo sawa! Lazima watu wale ili waishi! ikiwezekana Unafungua na machine ya kukoboa na kusaga mahindi ni kama ten mil! unapaki unga mwanza kg kwa sasa ni sh 620-650 -bei ya jml, pumba tunanunua sh. 130kg ya maize jam. ya Rice polish 60tsh cash! kwa cku unaweza koboa twenty ton.. pumba na chakula kwa cku kisio la chini inalaza laki 6 hadi milioni! chakula unauza Jumla cash! unaangalia Mikoa inayokuwaga nanjaa za muda mrefu kama kanda yaziwa!! pamoja na maelezo marefu nashauri no! 2
 
Hivi kwa dar nimaeneo gani hasa unaweza kufanya biadhara hii ya duka la vyakula kwawale wenyeji?
 
Hivi kwa dar nimaeneo gani hasa unaweza kufanya biadhara hii ya duka la vyakula kwawale wenyeji?
Nipo full picha ya duka la vyakula unaotaka kufanya ili na mm nijue pa kuanza coz mm nina la wholesale eg ngano,sembe,mafuta,ndoo na dumu
 
Nipo full picha ya duka la vyakula unaotaka kufanya ili na mm nijue pa kuanza coz mm nina la wholesale eg ngano,sembe,mafuta,ndoo na dumu
Eg niuze vinywaji vyote ispokuwa bia tu

Unga ,mafunk yakula ,ngano,mchele ,maharage,

Pipi? Biskuti,sukari,nk
 
Biashara nzuri ila changamoto zake kwenye capital na location ila ukiweza kukabiliana na izo changamoto biashara nzuri sana
 
Biashara nzuri ila changamoto zake kwenye capital na location ila ukiweza kukabiliana na izo changamoto biashara nzuri sana
Capital nzuri ya wastani kama ngapi? hivi mwisho wa siku niweze kuweka faida 25000@ siku
 
Capital nzuri ya wastani kama ngapi? hivi mwisho wa siku niweze kuweka faida 25000@ siku
Kama uwe na milion 30,faida iyo mbona ndogo sana kwa duka la jumla ukiwa kwenye location nzuri,zaidi ya iyo 25000@ siku
 
Back
Top Bottom