sulu bin nasry
Member
- Sep 18, 2016
- 17
- 9
wakuu habarini, nisaidien kaz jaman,Nina operate machine excavator pia Nina diploma ya engineering please nisaidien kaz yeyote ile pia Nina blasting certificate na driver licence, Nina mwaka mzima nyumban yeyote mwenye kuguswa Nisaidieni jaman.