Asante kwa tangazo bt tatizo hapo ni mdhamini wa ucc au udsm
Habari za jioni wadau,nataka kuomba ile kazi ya kukatisha tiketi mlangoni katika viwanja vya sabasaba.Hivyo naomba kufahamishwa ni kampuni gani ambayo imepata tenda hyo ili niweze kupeleka maombi huko asanteni.
dah!me mwnyw nimefwatilia iyo kazi mpaka nmechoka izo kazi wanapeana wao kwa wao ASA kwa sisi mabinti tunapat changamoto nyingi mpk utoe rushwa ya ngono ndo utapata kazi nje na hapo utaambulia kuzungushwaHabari za jioni wadau,nataka kuomba ile kazi ya kukatisha tiketi mlangoni katika viwanja vya sabasaba.Hivyo naomba kufahamishwa ni kampuni gani ambayo imepata tenda hyo ili niweze kupeleka maombi huko asanteni.
dah!me mwnyw nimefwatilia iyo kazi mpaka nmechoka izo kazi wanapeana wao kwa wao ASA kwa sisi mabinti tunapat changamoto nyingi mpk utoe rushwa ya ngono ndo utapata kazi nje na hapo utaambulia kuzungushwa




