Msaada wa kazi ndugu yenu maji shingoni

Msaada wa kazi ndugu yenu maji shingoni

martinm

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Habari zenu ndugu mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza certificate ya business administration mwaka huu ila hali ya maisha imekuwa ngumu sitaweza kuendelea mpaka mambo yatakapo kaa sawa naomba mwenye kuguswa naomba mnisaiidie
 
Weka picha wadau waone kama unafaa kuwa secretary. Si unajua cheti pekee hakitoshi.. ah ah ah ah😛
 
Mungu atakusaidia usichoke kumuomba maana hali c nzuri,tumaini ni Mungu pekee nina imani wenye mapenz mema na nafasi ya kukusaidia watajitokeza.
 
Katafute kazi ufanye kwanza nenda G4S SECURITY ajira zipo dada kakomae getin huku unasoma open university ngaz ya diploma utafanikiwa 2 dada.
 
Back
Top Bottom