Msaada wa kadi na bendera za CHADEMA

Chama kikubwa lakini tatizo la bendera ni kubwa, cuf pamoja na kufa kote huko bado ni matajiri wa bendera, hayo mapesa yanakwemda wapi?harambee zote sadoba ndesapesa,dhahiri mnatuangusha tuitishe harambee ya bendera jama tunatia aibu mpaka matawi hatuna na huku yapo lakini wakuja kuyafungua haonekani tatizo ni wasomi.
 
umeambiwa inayopiga kura ni kadi au bendera . Au pawasa pale nyamwage anataka pesa za harambee za m4c . Watu wameeacha kuchanga baada ya kunyimwa mapato na matumizi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…