Msaada wa join instruction ya Chamwino sekondarI Dodoma

limbeli

Member
Apr 18, 2018
74
96
Mwanangu amechaguliwa shule ya sekondary Chamwino Dodoma kidato cha tano naomba kupata msaada wa join instruction ya shule hiyo.
 
Jamani waungwana bado nina changamoto ya hii joining instruction, nahitaji ya ASHIRA SEKONDARI anayeweza kuipata anisaidie
 
Jamani waungwana bado nina changamoto ya hii joining instruction, nahitaji ya ASHIRA SEKONDARI anayeweza kuipata anisaidie

Ingia google search jina la shule itatokea contact ya shule call hio contact elezea shida ako utapata msaada ASAP (I tried kwa mtu aliekua na tatizo kama lako issue ilikua solved within 5mins)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…