Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingia tamisemi utakutana na Pdf yenye join instructionsMwanangu amechaguliwa shule ya sekondary Chamwino Dodoma kidato cha tano naomba kupata msaada wa join instruction ya shule hiyo
Tumia browser nzuri, anza na ChromeHaifunguki kaka nimejarib zaidi ya mara 10 labda kama una link nisaidie
Kila la kheri mkuu.Nimefanikiwa asee
Jamani waungwana bado nina changamoto ya hii joining instruction, nahitaji ya ASHIRA SEKONDARI anayeweza kuipata anisaidie