Msaada wa jinsi ya kutumia accounting software

Msaada wa jinsi ya kutumia accounting software

Nipe Kavu

Senior Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
115
Reaction score
181
Habari zenu wakuu,
Nina shida ya kujifunza accounting software yoyote mfano tally, QuickBooks,excel etc
Kwa yoyote anaefaham chuo chochote ambacho kinatoa short course za hiyo kitu kwa gharama nafuu naomba ani direct Au
Kama kuna mtu yoyote anaeweza kunifundisha ntamlipa please naomba anicheki pm

Mimi nipo dsm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom