Mimi Naturals
Member
- Nov 19, 2017
- 9
- 1
Habarini, mimi ni mwanafunzi wa chuo mwenye dhumuni ya kuuza bidhaa Za natural hair Za aunt Jackie's, kwa yeyote anae Jua nawezaje kuagiza kutoka nje ya nchi Naomba msaada
Wengi wao wachoyo, wanataka kununua kwao na wanauza bei SanaKama wamjua mtu alo South Africa wasiliana naye au hata US pia. Bidhaa hizi huko waliko wananunua online