nyotanjema
Senior Member
- Sep 24, 2011
- 137
- 35
Heri ya mwaka 2013. Wakuu naomba mtu anayeweza kunisaidia jinsi ya ku unlock simu aina ya NTT DOCOMO ANDROID ilipokuwa japan wiki 3 zilizopita ilikuwa inafanya kazi sasa hapa TZ siwez kuitumia ndani ina software ya LG.