Msaada wa jina la wimbo huu

Transman

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
870
Reaction score
654
Habari zenu wana jamii.
Ninashida wa wimbo ambao siujui jina lake yeyote mwenye kujua tafazali anisaidie.
Wimbo wenyewe ameimba AY na jamaa simfaham kutoka Uganda.
Verse ya wimbo huo
Binadam sio watu,
Ukiwa na hela utawaona
Mbona sasa wamekimbia.
 
 
Daah ndio kaka. Nimeupata
 

unaitwa Binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…