msaada wa iphone 3g

msaada wa iphone 3g

unataka kufanyia nini manake bluetoth ya iphoni ni noma imebaniwa huwezi kuchakachua utume picha wala vitu vingine nayo ni kama una earpiece ndo inaunga na baazi ya systems za magari za handset free vinginevyo iphone is a lockdown device kwa ajili ya security
 
Nataka kurusha music , photo na mengine . Vp kuna njia yyote ile ninaweza kunisaidia
 
Hapo huwezi kitu kwa kutumia blutooth labda uangalie app store app nyingine hata hivyo zinatakaga iPhone to iPhone tuu. Apple wanakamchezo kutuweka Geti kali siyo raisi votuvingine ambavyo havina undugu na apple vifanye kazi pamoja
 
Back
Top Bottom