Msaada wa Internship/kazi

Survival

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
219
91
Habari zenu wanajamvi?
Mimi ni kijana na ninaishi Dar es Salaam. Ninaomba msaada kwa ajili ya Internship au nafasi ya kazi,nimegraduate mwaka jana kutoka Chuo cha elimu ya biashara(CBE),Nimesoma Bachelor Degree in Procurement & Supply Management
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom