Msaada wa Internet setting ya simu kwa laini ya halotel

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Madau asalama leikumh

Wakuu mwenye kufaham jinsi ya kufanya setting Internet ya simu kwa kutumia laini ya Halotel naomba kusaidiwa...natumia simu ya samsung dual.

natanguliza shukulani
 
Jaribu kuwapigia huduma kwa wateja watakuelekeza mkuu...mimi nilikuwa nakumbuka ila sasa hivi nimesahau coz nimezoea vodacom
 
Elekeza ya voda na wengne tujue
unatuma neno ALL kwenda 15300 baada ya hapo watakuletea ujumbe huu...Ndugu Mteja, tunakutumia settings za Intaneti mpya ambazo zitakupa uwezo wa kutumia Intaneti vizuri. Tafadhali save utakapopata. Vodacom, Kazi ni Kwako! haitachukua dakika mbili watakuletea CONFIGURATION MESSAGE UTAZI-ACCEPT KWA KUZISAVE THEN YOU ARE DONE..
 
yangu niliset kawaida ikakubali;;;
nenda kwenye apn>new apn> kwenye apn name tupia jina lolote > apn tupia internet> apn type tupia default then save then rudi back iselect hiyo apn then connect data
 
Madau asalama leikumh

Wakuu mwenye kufaham jinsi ya kufanya setting Internet ya simu kwa kutumia laini ya Halotel naomba kusaidiwa...natumia simu ya samsung dual.

natanguliza shukulani
Kwenye APN name andika jina lolote tu ata jina lako au andika la mtandao "HALOTEL" cha muhimu ni kwenye Access point andika "b-internet" pengine usijaze kitu acha kama palivo (leave blank) kisha save....

Enjoy....
 
nenda kwenye seting kixha bofya netwrk setting alafu nenda kwenye accsc point bonyeza kma unatmia lin mbil watakupa option ko chagua halotel af kwenye space jaza iv
Name:halotel tanzania
Apn:internet
Apn type:default
Authentication😛ap or chap
ivo an
asante kwa kuchagua halotel nakutakia jion njema
 
Duh hiyo lugha!!!
 
Kwenye APN name andika jina lolote tu ata jina lako au andika la mtandao "HALOTEL" cha muhimu ni kwenye Access point andika "b-internet" pengine usijaze kitu acha kama palivo (leave blank) kisha save....

Enjoy....
Aksante mkuu
 
Aksante sana mkuu
 
Mrejesho....

Wakuu nimefanya jinsi mlivyo elekeza sasa naenjoy Internet yenye bei nafuu Halotel....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…