Kaparatus Member Joined Oct 14, 2011 Posts 32 Reaction score 6 Sep 8, 2012 #1 wadau mie natumia nokia C6-01, tatizo inakuwa online wakati wote, anaejua setting anisaidie.
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Sep 8, 2012 #2 Kaparatus said: wadau mie natumia nokia C6-01, tatizo inakuwa online wakati wote, anaejua setting anisaidie. Click to expand... Hakuna sehemu iliyoandikwa EXIT kwenye simu yako?
Kaparatus said: wadau mie natumia nokia C6-01, tatizo inakuwa online wakati wote, anaejua setting anisaidie. Click to expand... Hakuna sehemu iliyoandikwa EXIT kwenye simu yako?
M Mzee wa fund JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 514 Reaction score 90 Sep 8, 2012 #3 Makbel said: Hakuna sehemu iliyoandikwa EXIT kwenye simu yako? Click to expand... hivyo hivyo.
Kaparatus Member Joined Oct 14, 2011 Posts 32 Reaction score 6 Sep 8, 2012 Thread starter #4 Hakuna kitu km hcho mkuu.......
CORAL JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 2,827 Reaction score 1,858 Sep 9, 2012 #5 Nenda: Menu-settings-connectivity-packet data-chagua when needed Huenda kwenye simu yako kuna lugha tofauti, check for something like that.
Nenda: Menu-settings-connectivity-packet data-chagua when needed Huenda kwenye simu yako kuna lugha tofauti, check for something like that.
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Sep 9, 2012 #6 kwa mm nazan unaweza kua na apps ambazo zna run automaticly.! Appz znyw n kama whatsapp na nimbuz,! So kama unazo hz appz bas ndo tatzo
kwa mm nazan unaweza kua na apps ambazo zna run automaticly.! Appz znyw n kama whatsapp na nimbuz,! So kama unazo hz appz bas ndo tatzo
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Sep 9, 2012 #7 Ebu nitafute kwa namba hizi 0717577755 au 0787577755 kwa msaada zaidi kama upo Dar es salaam!
rickymj Senior Member Joined Apr 19, 2012 Posts 125 Reaction score 10 Sep 9, 2012 #8 Like the partner above who tokd ov appz nadhan ndo issue iliopo kwamba atakuwa anaMINIMIZE badala ya kuEXIT xo ukiminize lazma ibaki online na mkwanja unatembea if dnt uz bundlez au any cheatz!
Like the partner above who tokd ov appz nadhan ndo issue iliopo kwamba atakuwa anaMINIMIZE badala ya kuEXIT xo ukiminize lazma ibaki online na mkwanja unatembea if dnt uz bundlez au any cheatz!