Msaada wa idm aichukui video

Msaada wa idm aichukui video

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Wakuu heshima zenu

kama iivyokawaida ya IDM kila unapostream video inakuletea ka button kaku-download,,,kwangu hiii kitu sioni kabisa na hii imetokea baada ya ku-upgrade to firefox 18 ,for yahoo!

lakini files nyingine kama program inazichukua bila wasi wasi isipokuwa video na audio

niliingia kwenye add-ons nika disable IDM afu nikaenable na kurestart mozila bila mafanikio
naombeni msaada wenu
 
Sasa kale kabutton si huwa kanataka kukusaidia kudownload kwa sababu streaming videos ni ngumu kudownload mpaka utumie program maalum au kama vipi tumia hata Getgo au Youtube downloader
 
Mi nadhani uitoe uweke mpya, binfsi youtube down loader cipend.
 
nimejaribu ku-install upya lkn tatizo liko pale pale,,files nyingine inachukua lkn ile button ya download this video iko enabled lkn haionekani ni ki-stream video
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom