Habar wana jamvi,ninasimu ya huawei y300 ambayo ni liletoleo la kwanza kabisa! Sasa inaonekana ni kwa ajili ya tigo tu! Kwn nkiweka mtandao mwingne inanidai keys! Kama kuna m2 mwenye hzo key au anayefaham jins ya kutroubleshoot hlo tatzo msaada plz!