Msaada wa hotel nzuri Tanga

Msaada wa hotel nzuri Tanga

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
3,110
Reaction score
6,748
Habari za jioni?

Naelekea Tanga muda huu, nilikuwa naomba kufahamishwa hotel nzuri iwe na parking pamoja na gharama zake.

Asanteni.
 
Mkonge hotel ukifika mjini uliza barabara ya Kwenda Raskazone nyosha moja kwa moja baada ya kupita hosptali ya mkoa wa Tanga yaani BOMBO mbele kidogo ndo mkonge hotel..

Usipoipenda ulizia PANORI HOTEL pia maeneo hayo hayo!! Bonvoyage Mkuu!
 
Bei sijajua niliingiaga kitambo Sana'a kwa sasa cjui ila Panori ni Bei chafu sana huwa wazungu ndo wengi pale!
 
Pia Kuna Geust house Usagara COAST INN INAYO parking nzuri tu ya kutosha na mlizi yupo hapo bei 20000/= hivi 24hrs ukifika mjini Ulizia Eckernforde secondary hafu wanyosha na barabara moja kwa moja wapita daraja moja hivi mbele ukipata daraja kwa mbele kidgo.

Utafika sehmu ambayo hiyo barabara inakunja usifike kona kabisa kabla ya kona kata kulia hafu wakati za Kushoto ndo hapo COAST INN!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom