Deflakonary
Member
- Aug 17, 2013
- 47
- 3
Habari zenu wakuu.
Bila shaka nyote wazima wa afya.
naomba kuuliza hostel zinapatikanaje je za ndani kuna process gan kuzipata na ni bei gan kwa mwaka au kwa semester?, na za nje je? zipo karibu na chuo au ni mbali sana, naomba anaejua aniPM natanguliza shukran.........
Me nimelipia hostel moja ivi ipo kurasini karibu na hicho chuo na ninampango wa kuuza hiyo nafasi so tupia # yako tujue inakuwaje
Nafasi za hostel ndani zimejaa! Ushachelewa sana. Rushwa hakuna kama alivyochangia mpuuzi mmoja. Idadi ya wanachuo ni kama ime double kwa mwaka huu kutokana na kuanzishwa kwa course mbili mpya. Kilichobaki ni kupanga nje ya chuo tu.
Room ni elfu 92 water&electricty inclusive!! Tupia no upate room.
Room ni elfu 92 water&electricty inclusive!! Tupia no upate room.
Room ni elfu 92 water&electricty inclusive!! Tupia no upate room.
Me nimelipia hostel moja ivi ipo kurasini karibu na hicho chuo na ninampango wa kuuza hiyo nafasi so tupia # yako tujue inakuwaje
tupe sifa zake mwana umeme, maji umbali hadi chuoni.
Ni hostel y mtu binafsi, vyumba viko poa, mazingira salama, vyoo visafi maji kama kawa kiufupi ni pazuri
Huyu Jerhy anakichaa me ndo najua issu za bei na sijataja au na yeye ana chumba
zpo hstl 2 kwa boys kmebak chumba k1 na wanakaa wa2 4 na kwa girls vipo 2 ambacho k1 kpo akina wa2 na icho kingine wapo wawili hadi now pesa n 480000 kwa girls na boys n 500000 per year yan maji inclusive but umeme mnachangia maxmum kwa mwezi mnachangia 2000 kla m2 na hostel zote zina wa2 16 na 20 bas mwenye uwezo na anaehitaji anitafute kupitia 0716651694,,,
Mkuu una connection?Me nimelipia hostel moja ivi ipo kurasini karibu na hicho chuo na ninampango wa kuuza hiyo nafasi so tupia # yako tujue inakuwaje