Ulizima upande mmoja wakati unachomeka yaani aidha radio au pc au vyote vilikuwa onHabarini.
Nina Lg home theatre ya watts 1000. Ilikua nzima kabisa Kwa kila kitu.
Hasa leo nikataka kujaribu kitu ambacho ni kuunganisha redio na pc kutumia waya wa HDMI.
Kwa kweli matokeo yake ni kama ifuatavyo.
•pc haiku display chochote kutoka kwenye Deki.
•nikawa napata harufu kama ya kuungua kitu.
Baada ya hapo nikachomoa huo waya. Na kuamua kuitumia kama kawaida.
Matokeo yake yakawa kama ifuatavyo.
•upande wa redio ukakataa kurespond.
•spika tatu zenye ukaribu na connection ya HDMI hazitoi sauti, ila nikizibadilishia kwenye pin zingine zinatoa sauti.
msaada kwenu wajuzi, hapo shida yaweza kua ni nini? Walau nijue kabla ya kuchukua hatua zingine mana naamini humu nitapata ufumbuzi wa awali Kwa zaidi ya asilimia 90%.
Ulizima upande mmoja wakati unachomeka yaani aidha radio au pc au vyote vilikuwa on
the moment unaaza skia hii harufu, kitu(IC) kishaungua, pole sana aiseekawa napata harufu kama ya kuungua kitu.
the moment unaaza skia hii harufu, kitu(IC) kishaungua, pole sana aisee
Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .
ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua
Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?
Sasa ulivyochomeka hdmi kutoka kwenye home theater kwenda kwenye pc ulitegemea Pc ionyeshe picha kutoka kwenye home theater!! Pole...
Huyu atakua mhaya tuUlizima upande mmoja wakati unachomeka yaani aidha radio au pc au vyote vilikuwa on
Mi nachomeka
1. TV FLAT 55" na laptop kwa hdmi
2. Sony Hometheatet 1k watss na HIMI ili dvd imicheza nione kwrnye Tv
3. Waya wa 1 to 3. SIO HDMI. From TV FLAT to Hometheatet kwa ajili ya Soumf
Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .
ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua
Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?
Unatakiwa upande mmoja uwe umezima hasa .
ILa Radio na PC ulikuwa unataka kupata nini yaani nimi iwr source hapo ndio ulipozingua
Nijuavyo mimi radio inatoa data kwa HDMI na PC inatoa kwa HDMI sasa utaungaje pc na RADIO ?
[/QUOTE]May be alikuwa anataka ku captute contents
. [emoji20]
Jamaa hajui afanyalo, msameheni ila kimsingi kashaunguza system yake ya LG!Ulizima upande mmoja wakati unachomeka yaani aidha radio au pc au vyote vilikuwa on