sio TECNO tu dada yangu anayo Sony nayo imesave data ya tigo pesa yaani ukishaingiza *150*01# ukachagua toa au tuma password zinakuja zenyewe tu ukifika sehemu ya kuingiza passwordnilishajiapiza kamwe sitokuja kutumia TECNO maishani mwangu.
duuh!sio TECNO tu dada yangu anayo Sony nayo imesave data ya tigo pesa yaani ukishaingiza *150*01# ukachagua toa au tuma password zinakuja zenyewe tu ukifika sehemu ya kuingiza password
ndo hivyo mkuu simu hizi zimewekewa kumbukumbu kama binadamu unachokifanya mara Kwa mara ndo huwa kinajurudia rudia kama ushazoea kutukana watu kwa text ukianza tu ile herufi ya kwanza pale chini utaona neno zima limekujaduuh!
Mhhh huo mwandiko hujauona?? Sa hizi unatumia tecno unasema hutumii, anyway kama hutumii wewe wenzio wanatumia kwan kila mbuzi hula uref wa kamba yakenilishajiapiza kamwe sitokuja kutumia TECNO maishani mwangu.
nilishajiapiza kamwe sitokuja kutumia TECNO maishani mwangu.
nenda setting >>>app>>> tafuta keyboard unayotumia kama ni Google keyboard ichague alafu ibonyeze utaona maneno haya juu disable na lingine nazani ni force to sport ww fata neno lililoandikwa clear check hapo utakuwa umefuta kumbukumbu ikizingua bado nenda futa data zoteUnamaanisha niingie setting upande wa keybord au nimekuelewa vibaya
Nimesha fanya hivyo lakini bado bila bilanenda setting >>>app>>> tafuta keyboard unayotumia kama ni Google keyboard ichague alafu ibonyeze utaona maneno haya juu disable na lingine nazani ni force to sport ww fata neno lililoandikwa clear check hapo utakuwa umefuta kumbukumbu ikizingua bado nenda futa data zote
umebonyeza clean data mkuuNimesha fanya hivyo lakini bado bila bila