Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,576 Reaction score 12,375 Sep 9, 2016 #1 "Baba paroko" Imeimbwa kwa lugha ya kiswahili ikichanganywa na kihaya Kwa anyejua mwimbaji wa hii nyimbo aniambie Asante ya utangulizi
"Baba paroko" Imeimbwa kwa lugha ya kiswahili ikichanganywa na kihaya Kwa anyejua mwimbaji wa hii nyimbo aniambie Asante ya utangulizi
UncleBen JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 9,693 Reaction score 12,329 Sep 9, 2016 #2 Naleta mashitaka kwako ,baba Parokooo Ally Zahir Zorro huyo mjomba halafu kaimba Kihaya au kimanyema ?
Naleta mashitaka kwako ,baba Parokooo Ally Zahir Zorro huyo mjomba halafu kaimba Kihaya au kimanyema ?
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,176 Reaction score 2,523 Sep 10, 2016 #4 UncleBen said: Naleta mashitaka kwako ,baba Parokooo Ally Zahir Zorro huyo mjomba halafu kaimba Kihaya au kimanyema ? Click to expand... Umeimbwa na Makassy Junior...mtoto wa mzee Makassy
UncleBen said: Naleta mashitaka kwako ,baba Parokooo Ally Zahir Zorro huyo mjomba halafu kaimba Kihaya au kimanyema ? Click to expand... Umeimbwa na Makassy Junior...mtoto wa mzee Makassy
B Bagamoyo Platinum Member Joined Jan 14, 2010 Posts 32,670 Reaction score 37,558 Jul 8, 2017 #5 Pia wimbo wa Baba Paroko wa Makassy Junior umefanyiwa cover na wamanuziki wengi kama hawa wa Mkoani Kilimanjaro ''Baba Paroko''. Ikiimbwa live na GR band. Muimbaji akiwa Hosen Baba. Katika Ukumbi wa Tate Pub katika mji mdogo wa Same mkoani Kilimanjaro, Tanzania Source: nyambwiro bakari
Pia wimbo wa Baba Paroko wa Makassy Junior umefanyiwa cover na wamanuziki wengi kama hawa wa Mkoani Kilimanjaro ''Baba Paroko''. Ikiimbwa live na GR band. Muimbaji akiwa Hosen Baba. Katika Ukumbi wa Tate Pub katika mji mdogo wa Same mkoani Kilimanjaro, Tanzania Source: nyambwiro bakari
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 8, 2017 #6 Mkuu hii ni avatar yako ya kweli? NYANYADO said: Makasy Click to expand...
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,558 Jul 8, 2017 #7 BAK said: Mkuu hii ni avatar yako ya kweli? Click to expand... hiyo ni picha ya cheche Mtungi ,jamaa alokua akiigiza katika siri ya mtungi.
BAK said: Mkuu hii ni avatar yako ya kweli? Click to expand... hiyo ni picha ya cheche Mtungi ,jamaa alokua akiigiza katika siri ya mtungi.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 8, 2017 #8 Nilidhani ni wewe Mkuu. Shukrani sana. NYANYADO said: hiyo ni picha ya cheche Mtungi ,jamaa alokua akiigiza katika siri ya mtungi. Click to expand...
Nilidhani ni wewe Mkuu. Shukrani sana. NYANYADO said: hiyo ni picha ya cheche Mtungi ,jamaa alokua akiigiza katika siri ya mtungi. Click to expand...