Kama una access ya kuingia pm kwa mtu sina uhakika ktk hawa wawili
MTAZAMO au
mdukuzi atakusaidia hitaji lako.
Nakumbuka miaka ya nyuma kusoma sana rejea za kesi mbalimbali kubwa hapa nchini kupitia kwa mmoja wa hao jamaa so nahisi inaweza kuwa msaada kwako.