The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 217
Ndugu kwa kuwa vituo vyetu bado vinatumia teknolojia ya analogue hata ukipata HDTV bado haitakuwa kwa kiwango hicho. lakini vi vyema kutumia ving'amuzi ili upate ubora huo... Aina zinazosifika ni samsung, Sony Panasonic na nyinginezo. Hakikisha kwa unanunua yenye full HD
Kwa maelezo zaidi bofya hapa
HDTV Buying Guide: Making Sense of the Specifications | PCWorld
Kama nditichia alivyosema Hisence 42" unapata kwa 1.2m ila kama vp ingia znz upate 42" kwa 900.
Preta we mkare, ni wiki moja sasa tangu nimenunuwa hiyo Samsung LED, na jamaa anayefanya kazi Sumsung alinieleza hawatoleta tena Sumsung LCD yaani kitu Latest ndio hicho LED. Halafu huwa nachukizwa na mtu anayetaka mambo mazuri halafu anakuja na Lugha ya bei nafuu, jamani bure ghali.ndugu yangu....kama unataka kuona raha ya pesa yako.....basi tafuta Samsung LED.....hutajuta....
Preta we mkare, ni wiki moja sasa tangu nimenunuwa hiyo Samsung LED, na jamaa anayefanya kazi Sumsung alinieleza hawatoleta tena Sumsung LCD yaani kitu Latest ndio hicho LED. Halafu huwa nachukizwa na mtu anayetaka mambo mazuri halafu anakuja na Lugha ya bei nafuu, jamani bure ghali.
ewaaaaa....sasa ukitaka kinoge....kitupie na deck yake ya samsung HD....na kama unatumia king'amuzi cha dstv basi kiwe na chenyewe HD.....
kwani nini bana....maisha yenyewe siku hizi mwisho miaka 20....wayiiii.....
Preta we mkare, ni wiki moja sasa tangu nimenunuwa hiyo Samsung LED, na jamaa anayefanya kazi Samsung alinieleza hawatoleta tena Samsung LCD yaani kitu Latest ndio hicho LED. Halafu huwa nachukizwa na mtu anayetaka mambo mazuri halafu anakuja na Lugha ya bei nafuu, jamani bure ghali.
cheki hisense kidogo ndio bei nafuuu...
Kama nditichia alivyosema Hisence 42" unapata kwa 1.2m ila kama vp ingia znz upate 42" kwa 900.
Kuna vitu wala huitaji kuwa na Degree kutambuwa kama huu ni upigaji, hayo ni majina ya kuwazubaisha watumiaji wasiokuwa makini na nyingine inaitwa sunsung, hapa nia yao ni kuwaingiza mkenge wanaopenda Sumsung wajikute wananunuwa hiyo kitu bila kujijuwa.Hivi Singsang hawana HDTV? Kwani huko Znz wanauza Singsang cheap sana