Changed ID
Member
- Aug 5, 2018
- 79
- 69
Kuoga pekee hakutoshi ...atawaze!...............utani !umejaribu kuoga.?
Angalia choo kama kina seal ya maji. Yaani ukimwaga maji chooni inatakiwa mwisho yabaki maji yajae kusiwe na mwanya wa kurdisha hewa ndani. Pia kama hicho choo kina kina kirefu mpaka kwenye seal kinyesi kinaweza kubakia kwenye hicho kibomba kabla ya maji ya seal. CHUNGUZA UTAPATA JIBU VINGINEVYO INATOKA NJE KWENYE CHEMBAHio itakua rangi tu
Habari za wakati huu wandugu,
Naomba mnisaidie kitu kimoja,
Kuna ghetto nimechukua la kupanga sasa kuna harufu fulani kama ya kinyesi kikavu kwa mbaali hii inanisumbua kujua shida ni nini.
Mwanzoni wakati naoneshwa hapakuwa na halafu kama hii lakini badae ikaibuka.
Nilifikiri ni choo labda lakini choo nilisafisha na dawa lakini sijaona mabadiliko yoyote.
Hii ni kwa Mara ya pili naexperience hii kitu mwanzoni niliwahi kuisikia mahali fulani hivi nikajua shida ni choo,Sasa leo yamenikuta Mimi.
Please over please mwenye kujua shida nini anisaidie. Imefika kipindi nikahisi au ni rangi iliyopigwa ndani kabla ya Mimi kuingia.
Jaribu Google search, utapata jibu sahihi.Habari za wakati huu wandugu,
Naomba mnisaidie kitu kimoja,
Kuna ghetto nimechukua la kupanga sasa kuna harufu fulani kama ya kinyesi kikavu kwa mbaali hii inanisumbua kujua shida ni nini.
Mwanzoni wakati naoneshwa hapakuwa na halafu kama hii lakini badae ikaibuka.
Nilifikiri ni choo labda lakini choo nilisafisha na dawa lakini sijaona mabadiliko yoyote.
Hii ni kwa Mara ya pili naexperience hii kitu mwanzoni niliwahi kuisikia mahali fulani hivi nikajua shida ni choo,Sasa leo yamenikuta Mimi.
Please over please mwenye kujua shida nini anisaidie. Imefika kipindi nikahisi au ni rangi iliyopigwa ndani kabla ya Mimi kuingia.
Unauza sh ngapi mkuu nimekipenda na ni manukato gani unachanganya!!Pole. Chukua kifaa hiki changanya manukato then weka ndan. Kinatumika kama air fresher ni kizur. Njoo PM chap View attachment 1229445
Nilishakutwa na tatizo hilo,.Maji yanaweza kuwepo, tatizo ni, yanakua hayajafikia level inayotakiwa.Angalia choo kama kina seal ya maji. Yaani ukimwaga maji chooni inatakiwa mwisho yabaki maji yajae kusiwe na mwanya wa kurdisha hewa ndani. Pia kama hicho choo kina kina kirefu mpaka kwenye seal kinyesi kinaweza kubakia kwenye hicho kibomba kabla ya maji ya seal. CHUNGUZA UTAPATA JIBU VINGINEVYO INATOKA NJE KWENYE CHEMBA