Msaada wa haraka



kijana hujaweka wazi unataka kurudia kidato gani. ila kama ni kidato cha nne kuna chuo cha ualimu Chalinze kiko pale chalinze kinapokea wanaorudia mitihani ya form four bweni. ila ada yao ni zaidi ya milioni. huwezi pata shule ya bweni ya laki saba halafu bweni gharama za chakula tu kwa mwaka ni kubwa
 
Shukrani mkuu.

lakini mimi ninahitaji kureset mtihani wa form four alafu kituo kiwe kama tuition
 
Dar es salaam Baptist... IPO Magomen ada kwa mwaka ni 500,000/= kwa wanafunz wa PC na QT.
 
AHSANTENI WAKUU.. ILA KAMA KUNA MWENYE UFAHAMU ZAIDI BADO ANAHITAJIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…