Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,057 Reaction score 1,573 Jul 8, 2015 #1 Wanateknolojia habari zenu; Samahani naomba msaada wa kujua bei za Vioo vya simu hizi; 1>htc one x 2>sony experia Z1 2>samsung galaxy mega Pia itakuwa sio mbaya sana nikifahamu naweza kuvipata wapi na gharama za ufundi pia. Ahsanteni sana
Wanateknolojia habari zenu; Samahani naomba msaada wa kujua bei za Vioo vya simu hizi; 1>htc one x 2>sony experia Z1 2>samsung galaxy mega Pia itakuwa sio mbaya sana nikifahamu naweza kuvipata wapi na gharama za ufundi pia. Ahsanteni sana
chakufia nini JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 692 Reaction score 456 Jul 8, 2015 #2 ngoja waje mkuu
Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,057 Reaction score 1,573 Jul 8, 2015 Thread starter #3 chakufia nini said: ngoja waje mkuu Click to expand... Ahsante Chief