jajcom
Senior Member
- Jan 4, 2013
- 125
- 198
naomba msaada wenu wadau wa jf, natumia sim ya samsung galaxy s4, nibonyeza *#0000# kwa lengo la kujua tarehe ambayo sim imetengenezwa, cha ajabu lugha imebadilika kwenye system nzima ya sim yangu! binafsi nimejaribu kuirudisha kwa kingereza lakn nimeshndwa.
naomba msaada ili system ya sim iwe kwa kingereza.
natanguliza shukran!
naomba msaada ili system ya sim iwe kwa kingereza.
natanguliza shukran!