Je taa za kuonyesha inapata power zinawaka?
Kama haziwaki inawezekana power supply yako imekufa unaweza kujaribu na power supply nyingine ambayo iko compatible na laptop yako.Ilishwahi kunitokea, nikaifungua laptop na kui break apart, nikairudisha vizuri, come to find out kipower supply kilikuwa kimeungua nikanunua kipya ikafanya kazi kama kawaida.